Vurugu za hivi karibuni zilizotokea nchini Burundi, kutokana na Rais Nkurunzinza kuvunja katiba kwa kitaka kugombea kwa mhura wa tatu. Zimepelekea watu wengi kukimbia nchini kwao na kukimbila kaskazini mwa Tanzani ambako wanakumbana na janga lingine na Kipindupindu.
Kutokana na taarifa zilizotolewa na shirika la afya duniani WHO, limesema kuwa mpaka sasa ni watu 31 wamefariki dunia huku watu 4,000 wakiwa wameambukizwa na ugonjwa huo.
Hata hivyo wamesema kuwa maambukizi yataendelea kuenea zaidi.
0 comments :
Post a Comment