
Zitto Kabwe aliwekwa kikangoni na EATV na kumuuliza maswali mengi saana. Moja ya masswali aliyoulizwa ni kuzungumzia ubora na udhaifu wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
"Ubora wa Rais Kikwete ni kuacha watu kuwa huru kwa kusema kile wanachokitaka na upungufu wake ni kushindwa kudhibiti rushwa" Maneno hayo alisema kiongozi wa ACT Zitto Kabwe alipokuwa KIKAANGONI
0 comments :
Post a Comment