
Mbunge wa jimbo la Ukonga ccm- DSM, Mama Eugene Mwaiposa amefariki dunia ghafla nyumbani kwake huko Dodoma alikokuwa anahudhuria vikao vya Bunge.
Na sababu ya kifo chake haijafahamika, kutokana na kukutwa tu asubuhi akiwa amefariki.
Pole kwa ndugu na wana Ukonga'
0 comments :
Post a Comment