
Mwanariadha wa zamani Bruce Jenner ambaye katika mashindano ya Olympics mwaka 1976 alitunukiwa medali ya dhahabu, amejibadilisha jinsia na kuwa mwanamke na amebadilisha jina lake, sasa kuitwa Caitlyn Jenner.
Bruce Jenner ambaye ni baba wa the kardashian girls,amekua akitamani kuwa na jinsia ya kike kwa siku nyingi, hatimae kafanikiwa na kuwa rasmi mwanamke tena mwenye mvuto, ambaye kajitambulisha kwa jina jipya la Caitlyn jenner(twitter na Facebook ).
Familia yake imejitokeza na kumpa pongezi aliyekua baba yao, ambaye kwa sasa sijui title yake kwa atakuwa nani yao.
0 comments :
Post a Comment