TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749




Msafara uliokuwa umembeba mtangaza nia Makongoro Nyerere umepata ajali  Wilayani Kasuru na baadhi ya watu wameumia kutoakana na ajali hiyo.
Watu walioumia ni mwandishi Cyprian Musiba, na mtu mwingine ambaye hajatambuliwa bado.
Hata hivyo majeruhi ambao ni mwandishi Cyprian musiba na Julius Nyerere, wameruhusiwa kutoka hospital ya kasulu na sasa mapambano yanaendelea. 

www.campustz.com mtandao wa wanafunzi na wasomi TZ

0 comments :

 
Top