TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Jijini Dar es salaam, leo kumetokea lingine kutoka kwa vijana waliokuwa wanajidai wanamuunga mkono Dr Slaa na kumpinga Lowassa kwa kile walichokuwa wanakiita kuwa Dr Slaa yuko sahihi, kutokana na hotuba yake aliyoitoa kwa waandishi wa habari jana.
Kwa mujibu wa viongozi wa CHADEMA walidai kuwa huou ulikuwa ni mpango ambao ulikuwa umeandaliwa na vigogo wa CCM.



0 comments :

 
Top