LOWASA ATOA KAULI JUU YA TUHUMA ZAKE ZINAZOZIDI KUTOLEWA Lowasa:safari YA Matumaini 4 hrs · Kama kweli ningekuwa mwizi kwa mda wangu wote nikiwa kiongozi, nguvu na hila zinazotumika leo kunipinga bila hoja bila kunishtaki popote, nadhani nguvu hiyo ingetumika kunizuia kama ningekuwa mwizi, basi leo ningekuwa nimenyongwa!!
0 comments :
Post a Comment