TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



"Safari ya Chadema ni sawa na treni, inayoanzia Dar es Salaam kwenda Kigoma. Njiani watu wakageuka, na wakaendelea kugeuka katika vituo vingine vya njiani. Sisi tunaendelea," alisema.
"Chadema siyo mali ya Mbowe wala kiongozi yeyote. Anayefikiri yeye ni mkubwa hana nafasi... Kamati Kuu (CC) iliamua, na Mkutano Mkuu uliamua vilevile kuwa Lowassa awe mgombea wa nafasi ya urais. Kama kuna watu wana mawazo tofauti watatukuta mbele ya safari," alisema Mbowe wakati akizungumza kwenye mkutano wa kampeni mjini Sumbawanga jana. source: NIPASHE

0 comments :

 
Top