TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749




Nyota anayeongoza duniani kwa mchezo tenisi Novak Djockovic ametwaa taji la Us Open baada ya kumshinda mpinzani wake Rodger Federer anayeshika nafasi ya pili kwa ubora duniani.
Djockovic amemshinda Federer kwa jumla, kwa seti 6-, 5-7, 6-4, 6-4 na kwa ushindi huo mchezaji huyo ameweka rekodi ya kutwaa ushindi wa  Grand slam ya tatu kwa mwaka huu.
Na ni Grand slam yake ya kumi katika maisha yake ya uchezaji wa tenisi .
Kwa upande wa wanawake muitaliano Flavia Pennetta alitwaataji la US Open kwa wanawake baada ya kumchapa muitaliano mwenzake Roberta Vinci.
Flavia alishinda kwa seti 7-6 7-4 6-2 baada ya ushindi huo nyota huyu mwenye miaka 33 akatangaza kustaafu mchezo huo.

0 comments :

 
Top