


Hatimae mmoja kati ya wabunge wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA aliekua
miongoni mwa wanaoitaka TANGANYIKA bungeni kuanzia mwaka 1993 aliekua
mbunge wa KYELA,Mh LUMULI ALIPIPI KASYUPA ametangaza rasmi kujiunga na
CHADEMA cku ya leo kwenye mkutano wa kampeni wa Mh.Edward Lowassa..
0 comments :
Post a Comment