MWANASHERIA MKUU AMETOA UTATA ULIOKUWEPO, iwapo wananchi wabaki mita 200 au wasibaki baada ya kupiga kura Masaju amewambia wanahabari leo kuwa; "wananchi wakipiga kura waende nyumbani au wakae mita 200 kama sheria inavyotaka." 19/10/2015.
0 comments :
Post a Comment