TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                                     


Rapa Langa amefariki dunia baada ya kupatwwa na maralia makali zaidi yaliyo pelekea kukimbizwa katika hospitali ya mhimbili kwa matibabu zaidi.
Akithibitisha kutokea kwa msiba huo, baba wa marehem mzee Kileo amesema kuwa mtotoo wake amefariki saa 10 jioni na amefariki ikiwa mama yake akiwa safarini huko marekani, lakini kutokana na taarifaa hiyo anatarajia kurudi kesho
msiba utakuwa nyumbani kwao Mikocheni na mipango ya mazishi bado inaendelea.
 BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE LIBARIKIWE, AMINA

0 comments :

 
Top