TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                                                      
                                                                   Masanja mkandamizaji
Ama kwa hakika kama tutakuwa na akili za kukumbuka kuwekeza basi hatakuja kutokea msanii akalalamika amekufa maskini .tunajua kuwa bada sanaa yetu  ipo  chini haithaminiwi lakini basi ni vyema wasanii kujua kuwa hakuana msaada wowote zaidi ya nguvu juhudi  na akili zako.
Kwa upande mwingine tuseme wasanii tumejisahau sana na kuitupia serekali mzigo japo sikatai kuwa hawauhusiki wanahusika tena kwa asilimia kubwa lakini tunapoona hawasikii hawajali unadhani nini cha kufanya je tukae tu kupiga kelele huku siku zinakwenda na kuambiwa wasanii wanakufa maskini?Hapana mi nadhani tufuate mifano ya wenzetu kama masanja,Diamond,Ray,Lade jayde,Prof.jay ,Dotnata,Rich Rich na wengine wengi ambao pamoja na serekali kujifanya haisikii kilio cha wasanii ila wao wameamua kujiwekeza na kwa hakika wamefanikiwa.

Huu ndio mjengo wa ghorofa anaomiliki masanja mkandamizaji huko tabata

0 comments :

 
Top