TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


Mwal: "James,ungependa kuwa nani ukiwa mkubwa?"
James: "Nikiwa mkubwa napenda kuwa tajiri mkubwa, nimiliki magar na majumba ya kifahari, halafu nioe na kumpangishia mke wangu hotel jijini Paris Ufaransa, nimnunulie magari ya kifahari na kumpeleka kila anapotaka."
mwal: "Mmmmh! haya hongera kwa kujiwekea malengo."
Akageuka upande wa pili.. "Eeeenhe na wewe Mary ungependa kuwa nani hapo baadae?"
Mary: "Hapo baadaye natamani kuwa mke wa James."

Mwalimu hoi...!!

0 comments :

 
Top