TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Lady Jay Dee alikuwa mmoja wa mwanakamati kwenye msiba wa Mangwea lakini kuna kituo kimoja cha radio kiliwataja wanakamati wote yeye hakutajwa,pia marehem Mangwea ameimba nyimbo mbili na Jaydee lakini wakati wamaombolezo napo sikuzisikia nyimbo hizo za marehem kwenye radio hiyo na jana Lady Jay Dee ametangazwa kuwa msanii bora wa kike kwenye tuzo za kili,ajabu ni kwamba kituo hicho kimetangaza majina yote ya washindi lakini yeye hawajamtaja ata kwenye mitandao yao hawajaweka jina lake,nashindwa kuelewa kwa nini wanawanyima haki ya kupata habari wananchi,nyie mnaugomvi na Jaydee wananchi autuhusu tupeni habari nyie ni radio ya watu na watu ndio sisi.

0 comments :

 
Top