source habarivillage.blogspot.com
Picha kadhaa zatolewa na Wamarekani kuonyesha hali si kama inavyodhaniwa.
Wengi waongelea na kusema Halina Tofauti na Kuzimu.
Raisi Obama aliongelea kulifunga, lakini picha zinaonyesha bado sana.
Gereza lililoko Cuba linalotumiwa na jeshi la Marekani kwa ajili ya wafungwa wao, wakati mwingine kwa miaka mingi bila hatia- tangu USA kuivamia Afganstan mwaka2002.
Baadhi ya
Picha zinaonyesha jinsi ambavyo wafungwa wanavyolazimishwa kula endapo watagoma
kufanya hivyo.
Picha hii kushoto ilinaswa na moja ya mtandao maarufu duniani wa wikileaks ukionyesha mfungwa mmoja akiwa amebebwa kwenye machela baada ya kuzidiwa na kinachodaiwa ni kipigo na mateso.
'PROTEST AGAIST BAY'
Mfungwa hufungwa kwenye kiti cha chuma, na kulishwa kwa kutumia mipira inayopitishwa puani.
Picha hii kushoto ilinaswa na moja ya mtandao maarufu duniani wa wikileaks ukionyesha mfungwa mmoja akiwa amebebwa kwenye machela baada ya kuzidiwa na kinachodaiwa ni kipigo na mateso.
'PROTEST AGAIST BAY'
Mfungwa hufungwa kwenye kiti cha chuma, na kulishwa kwa kutumia mipira inayopitishwa puani.
Mamia ya wafungwa walifanyiwa hivyo wakati walipogoma mapema mwaka huu, walipogomea hali mbaya ya gereza hilo.
Idadi ya mwisho ya watu waliokuwa wanalishwa kwa mashine hiyo hapo kushoto ni 21, na wanalishwa kupitia puani.
Kuna wafungwa zaidi ya 800 ndani ya Gereza hilo, japo jeshi la Marekani linasisitiza kuwa ni 48tu ndo walio ndani, na kwamba hawawezi kuachiwa kutokana na kuwa watu hatari zaidi duniani!
Wafungwa hawa wanachukuliwa kama watu hatari sana hivyo kupewa ulinzi wa hali ya juu.
Wafungwa wengi wa kijeshi na kisiasa, hasa wale wanaopingana na itikati za Magharibi ndio wanakutana na kadha ya Gereza hili.
Maswali mengi ya kujiuliza hapa, ila kwa majibu zaidi tembelea mitandao maarufu ambayo imeandika taarifa na picha za Gereza hili kama vile wikileaks.com, pamoja na gazeti la the mirror!
Tuombe yasifike kwa watanzania!






0 comments :
Post a Comment