TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Rais wa zamani wa Afrika kusini,marehemu Nelson Mandela amewacha wasia kuwa mali yake yenye thamani ya dala milioni nne na laki moja igawiwe kati ya mkewe Grace Machel,familia yake,shule alizowahi kusomea,wafanyakazi na chama cha ANC. Hayo ni kwa mujibu wasia wake uliofichuliwa hii leo.Je, wasia huo utasaidia kumaliza mivutano miongoni mwa wana familia?

CHANZO BBC SWAHILI

0 comments :

 
Top