TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Hatimaye serikali imetangaza ajira mpya za waalimu zilizokuwa
zikisubiriwa kwa hamu. Kwa maelezo zaidi nunua gazeti la uhuru. Majina
bado hayajatolewa, ngoja niwaonjeshe kdg nukuu hii.
"Serikali yatoa nafasi za walimu zilizokuwa zikisubiliwa kwa muda mrefu na wahitimu waliomaliza vyuo mbalimbali kwa mwaka 2014, Akiongoea na waandishi wa habari Mh Jenista Mhagama amesema jumla ya walimu 26750 wamepangwa sehemu mbalimbali nchini,wengi wakienda katika shule mpya zilizojengwa na serikali na kuonya kwamba yeyote atakae toroka kituoni na kuchukua pesa za serikali atachukuliwa hatua kali za kisheria.
CHANZO MAELEZO LEO
SAA TATU NA NUSU
09:30 (OFISI ZA WIZARA YA ELIMU)"
Wakiweka majina 2tajuzana

0 comments :

 
Top