TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Msanii wa kutoka Nigeria Davido amempiku Diamondi katika kinyang'anyilo walichokuwa wakiwania pamoja katika tuzo za BET Award.

Wawili hao walikuwa wakiwania katika kitengo cho nyimbo bora ya Africa kwa mwaka 2013-2014.

Wasanii wengine waliokuwa wakiwania nafasi hiyo ni Tiwasawaje, Mafikizoro.

Hii ni tuzo ya pili kubwa kwa Davido kumpiku diamond baada ya ile ya MTV.

0 comments :

 
Top