TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Wakati nilipopata mwanangu wa kwanza nilibahatika kutunzwa na shangazi yangu ambaye alinambia mambo mengi yahusuyo afya ya uzazi na matunzo ya mtoto. Alinambia kitu hiki(Naomba tushee)..Kwamba uke hutanuka ( ndio maana tunaweza kumtoa kiumbe mwenye viungo kamili .

Na pia baadae husinyaa[ japo haitakuwa kama pale mwanzo kabla hujazaa] akanambia kuna kazi /zoezi rahisi kurudisha maumbile ya kike katika hali nzuri.

Wakati wa kupiga mswaki hakikisha unasafisha vizuri kinywa chotee...na hakikisha unagusa kidogo sehemu ya mwisho ya ulimi yani karibu na koo. Hii itakufanya ustuke kidogo ambapo automatically utabana misuli ya tumbo na misuli ya uke.

Kwa maelezo yake anasema ni zoezi linalosaidia hata kusaidia damu kutoka wakati wa mzunguko wa mwezi...na wakati wa damu ya uzazi. .jambo linalisaidia kutoa uchafu na kupunguza maumivu..Nimekuwa nikifanya sana hii kitu.. zoezi la kustua mswaki... mwisho wa ulimi. nadhani ni zoezi kama lile la PC...etiii eeee

Chanzo jamii forum

0 comments :

 
Top