| Picha si harisi |
BREAKING NEWS: MOTO WAZUKA MBAGALA BAADA YA GARI LA MAFUTA KUANGUKA
Gari aina ya Roli limepata ajali maeneo ya mbagala rangi tatu na hivyo watu kujalibu kuchota mafuta yaliyokuwa yakimwagika na kusababisha moto kukzuka na kusababisha nyumba kuzidi kuteketea. taarifa zaidi tutawaletea
0 comments :
Post a Comment