Je ulishawahi kuidumbukiza simu yako katika maji kwa bahati mbaya na ulikuwa hufahamu jinsi ya kuondoa maji kutoka ndani ya simu yako? Sasa japo ikitokea tena, jaribu njia hii; weka simu yako katika begi la plastiki iliyojaa mchele na isipitishe hewa. Mchele ule utanyonya maji maji yote na baada ya hapo utaweza kuwasha simu yako!
Home
»
»Unlabelled
»
TUMIA NJIA HII KUKAUSHA SIMU YAKO ILIYODUMBUKIA KWENYE MAJI NA ITAWAKA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments :
Post a Comment