Freeway Rick Ross ambaye ndiye mwanye jia halisi la Rick Ross amemuomba William Roberts, a.k.a. Rick Ross, kuungana naye katika vita ya kutokomeza biashara ya madawa ya kulevya katika mziki wa Hip hop ili kuokoa kizazi kinachopotea kwa biashara ya madawa ya kulevya kwa kuzani kuwa madawa ya kulevya yatawasaidia wao kutoka kimaisha.
Freeway amemuomba Rick Ross kuungana naye ili wafanye kampeni itakayo toa ukweli toka kwa Rick Ross kuwa utajili alio nao ni kutokana na juhudi zake kwenye mziki na si kwenye biashara ya madawa ya kulevya kama wengi wanavyoamini.
Freeway amesemakuwa kitu kinacho muuma katika biashara chafu ya madawa ya kulevya ni kuwa vijana wengi wanazidi kuozea jera na watazidi kuozea jera na kunaambao hata yeye ni marafikiwake wakubwa hata Rick Ross anawafahamu kama vile Big Meech
"najua unaniheshimu saana ndio maana ukatumia jina langu na kupitia heshima hiyo njoo tuungane ili tuwaeleze ukweli kuwa hawawezi kufanikiwa kwa kupitia biashara au kutumia madawa ya kulevya"

0 comments :
Post a Comment