Mgombea wa CCM nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa wa MWATULOLE Mhe Mussa Elias Kassebe amewekewa pingamini na Mgombea wa UKAWA Kupitia Chama Cha Wananchi Cuf Mhe WILLSON. kwa kosa la kudanganya mwake wake wa kuzaliwa kwa kuandika amezaliwa tarehe 6/10/2014 Hivyo toka azaliwe hata mwezi hajatimiza.
Pia Mtaa wa BUTILAMPEMBE Mgombea wa CCM nafasi ya uenyekiti Mhe Hassan Ally Mkwembe amewekewa pingamizi na mgombea wa UKAWA kupitia chama cha wananchi Cuf Mhe Lucas Paul TITO kwa kosa lakudanganya amezaliwa mwaka 19006 hivyo licha ya kitambulisho chake cha kupigia KURA kuonyesha ana miaka 32 kwenye fomu kajaza miaka 100.
Mgombea wa nafasi ya mwenyekiti wa Mtaa wa MAKATOMA Mhe Malekela amewekewa pingamizi na mgombea wa UKAWA kupitia chama cha wanawanchi Cuf Mhe Enock STAMBULI kwa kosa la kushiriki uchaguzi wakati yeye sio RAIA wa Tanzania na ametumia kitambulisho cha nchini kwake kujaza fomu zake.
Mgombea wa CCM nafasi ya mwenyekiti wa mtaa wa MASALALA ROAD Mhe Sospeter Mahushi amewekewa pingamizi na mgombea wa UKAWA kupitia chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa kosa la kujaza kwenye fomu ya kugombea chama anachogombea ni CCM wakati hakuna chama kilicho sajiliwa kinaitwa CCM ila kipo kinachoitwa CHAMA CHA MAPINDUZI.
Karibu mitaa 19 UKAWA wanapita bila kupingwa GEITA ni shangwe na NDEREMO .
Kwa UPDATE zaidi za uchaguzi nchi nzima Jiunge na GROUP LA ukawa candidate 2015 stay tune.........

0 comments :
Post a Comment