TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

     
Wakuu wa UKAWA bungeni Dodoma kukutana hivi punde katika ukumbi wa Msekwa,pamoja na mambo mengine kukanusha vikali na kukemea propaganda chafu ya wana-ESCROW zinaenezwa kwamba wamefungua kesi mahakamani.Nitawajuza zaidi.

Ila Marandu amethibitisha kuwa taarifa hizi ni za kizushi,Mbowe yupo njiani toka south Korea ili kuongeza nguvu kuhakikisha mjadala wa escrow unafanyika na Mungu akipenda kesho atakuwa bungeni.

"Hakuna kesi ya IPTL iliyofunguliwa leo, jana ama juzi, Kwakuwasaidia tu, nikuwa kila mtu na asimame ahesabiwa,"

0 comments :

 
Top