TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Dodoma, Diploma waligoma siku ya leo kufuatia kucheleweshewa pesa zao nawengne kutopewa tangu waanze masomo. 
Kufuatiwa mgomo huo mwanafunzi mmoja amefariki dunia kitu ambacho kimepelekea hadi wale wa degree kugoma pia. 
Inasikitisha Sana mana serikali iliahidi kilakitu Bure lkn pesa zao zinakatwa
Tutawaletea sababu ya kifo chake

0 comments :

 
Top