
Vyama vya Siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) leo vimetangaza rasmi kuwa vitasusia kushiriki kura ya maoni kwa ajili ya kupitisha Katiba mpya kwa madai kuwa maandalizi ya kutosha hayajafanyika na pia Katiba hiyo si halali kwa kuwa mchakato wake haukuwa halali. Nacho Kituo cha Sheria na Haki za binadamu LHRC kimeitaka serikali kusitisha mchakato huo kwa sababu hizo hizo.
0 comments :
Post a Comment