TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749


Displaying IMG-20150330-WA0004.jpg                                                                                     
Watu watatu wamejeruhiwa huku mtu mmoja akiwa amefukiwa na kifusi baada ya jengo la ghorofa lililokuwa likiendelea kujengwa jijini Mwanza kuporomoka.
Tukio limetokea siku ya leo katika mkoa wa Mwanza eneo ambalo lipo opposite na Benki ya Stanbink Mwanza Mjini.
Polisi wamewasili eneo la tukio na juhudi za uokoaji zinaendelea..
Hali ya watu waliojeruhiwa ni mbaya, na kunasemekana kunaidadi ya watu isiyo julikana pia wanaweza kuwa wamefukiwa na jengo hilo.

0 comments :

 
Top