
Tuzo ya Uongozi uliotukuka inayotolewa na MO Ibrahim Foundation, Mwaka Huu amepewa Rais anayemaliza mda wake wa Namibia Hifikepunye Pohamba.
- Tuzo Hiyo huambatana na Dola za Kimarekani Milioni Tano. Rais Pohamba alikuwa ni mmoja wa waasi waliopigania uhuru wa Namibia.
0 comments :
Post a Comment