
Ndege ya abiria inayomilikiwa na shirika la ndege la Germanwing, aina ya Airbus A320 imeanguka katika milima ya Alps kusini mwa Ufaransa ikiwa na abiria 148 na wafanyakazi wa ndege hiyo 6.
Ndege hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka Düsseldorf kuelekea Barcelona. Inasemekana ilipotea kwenye rada mida ya saa 5:20 asubuhi baada ya kusikika kwenye simu saa 04:47 asubuhi.
0 comments :
Post a Comment