
Wanaharakati wa upinzani nchini Burundi wameingia mitaani kwa siku ya pili kupinga hatua ya Rais Pierre Nkurunziza kuteuliwa na chama chake kilichoko madarakani kuwania Urais kwa mara ya 3.
Vurugu zimeendelea kutawala nchini humo kwa siku kadhaa sasa maana baadhi ya wananchi wanapinga hilo hali inayofanya Polisi kuingilia kati na kupambana nao.
Katiba ya nchi yao haina tofauti na Tanzania, kwamba Raisi anaruhusiwa kuongoza kwa awamu mbili tu.
Nini maoni yako katika hili?
0 comments :
Post a Comment