TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749



Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma, amesaini mswada unaotaka waathirika wa ukimwi kuwekewa alama sehemu zao za siri zitakazokuwa kitambulisho cha mtu aliye na virusi vya ukimwi.
Mswada huo unataka kila atakayepima nakugundulika kuwa anavirusi vya ukimwi hatopewa dawa na ushauri bali atawekwa alama kama ya tattoo, itakayokuwa haifutiki karibu na sehemu za siri ili iwe kitambuliksho kwani alama hiyo itakuwa ikifahamika.
Hii imeonekana kama ni mwarobaini wa kupunguza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Source: Radiocity 97FM

0 comments :

 
Top