TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

                         

Msanii wa vichekesho wa nollywood Osita Iheme anayejulikana kwa jina la Pawpaw(Ukwa) amepata mchumba na wanatarajia kufunga ndoa siku za hivi karibuni.
Ukwa aliachwa akiwa single huku mwenzake Chinedu Ikedieze kwa jina lingine Aki akitamba na jiko alilojipatia miaka kadhaa iliyopita.
Mchumba wake huyo ni mrembo kutoka Ghana na kwa sasa mipango ya ndoa yao inaendelea vizuri.

0 comments :

 
Top