
Mwandishi wa Times Fm Stanslambart Mzee wa Maskani, akishuhudia mgomba
uliopandwa kwenye barabara ya Mwaikibaki, eneo la shule ya Msingi Mbez
Beach. Vijana wa bodaboda na bajaji wameamua kufanya hivyo kama njia ya
kusisitiza mamlaka husika zije kutatua tatizo la shimo linalosababisha
ajali za mara kwa mara sehemu hiyo...........Tupia lako neno hapa
Je hii itawafanya Serikali kukumbuka wajibu wao ?
0 comments :
Post a Comment