TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Leo Dr Slaa anaongea na Star tv ili kujibu baadhi ya mambo ambayo ameyatafsiri kuwa yanautata kwa watanzania.
Amesema kuwa katika siasa kila kitu ni timing, hakuna mtu anayeweza kumpangi a mtu ni lini afanye hivyo. kunaviashilia  vilivyofanya aje kwa wakati huu
kulikuwa na akaunti zilifunguliwa tatu zinazo operate kwenye facebook na sina account twitter ila nina account facebook, jamii foram.
Kunataarifa zilitolewa kwenye mitandao ya kijamii ambayoilikuwa sio yangu, pia Nyerere Yeriko aliwahi kusema kuwa kunasiku nilitakiwa kuanya mkutano na waandishi wa habari na waandishi wa habari wakajitokeza kwa wingi saana.
Katika kusema kuwa Dr Slaa amenunuliwa wanaweka picha nikiwa na Mwiguru Nchemba na Lipumba, hiyo ilikuwa ni ya zamani.
Lakini pia kunapicha za kwenye ndege, hii picha nakumbuka mtu aliniomba nipige picha naye na sijui ni nani ambaye aliitoa hiyo picha.
Kapata wapi hela
Nimekwenda marekani 2013 kwa mwezi mzima, nikatembelea state 13, sikulipiwa na mtu yeyote, chama changu kilinipa laki tano tu.
Kwanini aliishi Serena hotel, Vitisho nilivyovipata katika kipindi hiki ni vikubwa kuliko nilivyovipata kipindi natangaza list of shame.
Mimi nimekaa ndani ya hoteli ya Serena si kwa kificho ni kwaajili ya ulinzi.
Mbona watu wanadai unalindwa na mafisa usalama wa taifa. hata nyumba yangu inalindwa na jeshi la polisi. Na wakumbuke watanzania nilisha wahi kusema kuwa usalama wa taifa umegawanyika, na je kunaubaya gani leo hii nikilindwa na rafiki zangu..?
Kuhusu kauli ya Lissu, kwanza ameongea mambo ya kifamilia na nikiongea ya kwake hapa yangu yatakuwa ni bora zaidi kuliko yake.
Mwanasheria wangu amepaniki, anapaswa kufanya utafiti kama Dr Slaa amepokea mshahara. Mimi sijapokea kitu chochote na sijasaini sehemu yoyote ile na Lissu anatakiwa kutoa ushahidi wa hizo document.
Nyumba nilichangiwa na rafiki zangu akiwemo mwenyekiti wangu wa chama Mbowe na si ya chama.
Akijibu Mbatia, amesema kuwa kama kukemea uovu, ndio kupasua taifa, mii siko tayari kuyumba, na hiki ndicho nilichowahi kumwambia hata Lowassa kuwa yeye ni mwizi.
Akijibu kauli ya Mbatia, ugomvi wake na chama ni tarehe 27 na ulianzia mbali tarehe 12 baada ya Lowassa kukatwa na CCM, na ni baada ya kupigiwa simu, nikiambiwa kuwa sasa yametokea yaliyokuwa yansemwa kwenye vyombo vya habari. Nikaenda kwa Mbowe na tukampigia simu Gwajima na nikawa sina utata juu ya kumpokea Lowassa, isipokuwa ni kutimiza mashariti. mimi na Gwajima ni marafiki, Gwajima na Lowassa ni marafiki, kwahiyo marafiki kubadilishana mawazo si mbaya
Je kunamsukumo wowote uliofanya useme yale ambayo uliongea na waandishi wa habari.
Cha kwanza mimi ninamoyo wa nyama, nimeteuliwa kabisa, nikaanza kufanyiwa maandalizi, na mkumbuke kabisa nilipelekwa hata nje kufanyiwa mafunzo.
Lakini kwangu urais sio issue, nakumbuka waliponiambia nikagombee jimbo Karatu au Kinondoni, lakini mimi nikagoma. Nikasema mimi nitabaki kujenga nchi tu.
Kwa upande wa Rostam Azizi, ammbaye alimtaka apeleke ushahidi, Dr sla amesema kuwa serikali ipeleke kesi mahakamani na yeye atapeleka ushahidi. Utaratibu wa kawaida kesi ya jamhuri yeye hawezi kupeleka kesi hiyo mahakamani bali ni serikali.
Mshenga, Bishop Gwajiama ndiye aliyeniambia kuwa maaskofu wameongwa na Lissu naye akasema hivyo.
Kwa upande wa kutumiwa amesema kuwa yeye anauwezo wa kutenganisha mambo, hizo ni hoja dhaifu ambazo zinatumiwa na baadhi ya watu wasioelewa na kutojua kupambanua.
Mimi ninauwezo wa kupambanua kuwa hii ni siasa na haya ni maendeleo.
Ni kweli tulikutana na mwakyembe, kwasababu msomi yeyote anapoandika research ni lazima utafute primary source, kwahiyo niikutana na Mwakyembe kama primary source wa kamati ya Mwakyembe na haikuwa kwa siri.
Kwa upande wa mke wake amesema
Mimi ni mstaarabu, na nilipokuwa nasema kuhusu kula mihogo, nilikuwa siwasemi watuwazima hawa walio na umri wa miaka 25 ambao nao tayari wanafamilia zao.
MWATANGAZAJI. Kila mwanasiasa ananadi mabadilriko na uadilifu. Je ni kweli yanatoka moyoni..?
SLAA, ni kweli wananzania wote wanataka mabadiriko ili wapate ahueni ya jasho lao. Mimi nafaikiri mabadiriko yanatakiwa kweli kwa kila kundi.
Watanzania mnatakiwa kuchagua nyi wenyewe ni nani anadhamila ya kweli. Mimi siwezi kusema kuwa mumpigie nani, ila ni kwasababu ukweli huegamia upande mmoja na kuonekana kuwa mimi naegemea upande fulani.
Watanzania waache ushabiki, na wachague anayejibu matatizo yao.
Kila mtu anamapungufu yake, katikka kwenye vitu viwili vibovu, unachagua kimoja ambachokinaubora zaidi ya kingine.
Hakuna ambaye anapoint moja kwa moja kuhusu kukemea ufisadi, ni kwasababu wote hawa ni mafisadi pia.

0 comments :

 
Top