
Mwanasiasa mkongwe nchini, Mchungaji Christopher Mtikila amepata ajali ya gari mkoani Pwani alfajiri ya leo
JamiiForums
imeongea na Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Jafari Mohamed,
amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa "Taarifa za mwanzo"
zinasema amefariki saa 12 kasorobo asubuhi katika kijiji cha Msolwa,
Chalinze.
Amesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.
MUNGU ALILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI, AMINAAmesema gari lililokuwa limempakia lilikuwa linatokea Morogoro na kwamba walikuwa watu wanne ambapo wengine watatu wamejeruhiwa vibaya.
Majeruhi wamekimbizwa katika Hospitali ya Tumbi.


0 comments :
Post a Comment