Chama
cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kimetangaza kutomtambua msajili wa
vyama vya siasa nchini John Tendwa na kusema wao walishamfuta kabla ya
yeye hajakifuta chama hicho.
Katibu
mkuu wa CHADEMA, Dr. Willbroad Slaa amesema wao hawatishwi na kauli ya
msajili John Tendwa ya kukifuta chama hicho maana wao wanaitambua
ofisi ya msajili wa vyama vya siasa tu na si John Tendwa.
Amezungumza hayo hii leo jijini Dsm wakati wa uzinduzi wa kongamano la kimataifa la vijana kuhusu demokrasia
Home
»
»Unlabelled
»
CHADEMA: HATUMUOGOPI MSAJILI WA VYAMA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment