chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA, kimesema kuwa kitaendelea na msimamo wake wa kuwaweka vijana wake kuwa wakakamavu kwa kuwapa mafunzo ya kikakamavu
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa CHGADEMA Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Shinyanga juzi.
Pia katika mkutanbo huo Mbowe alionyesha moja y avyeti vya CCM, wanavyowapa vijana wa Green Guards wanapo hitimu mafunzo yao kama kinavyoonekana hapo juu.
kwaupande mwingine alielekea hadi kwa upande wa Waziri mkuu Mizengo Pinda na kumwambia kwamba kamaa anasema wamechoka basi waachie ngazi na waziache wazi ofisi kwani sio zao bali ni za Watanzani.
aluisema kuwa Waziri mkuu anapaswa awe ni mwenye utawala bora na mwenye demakrasia ya kweli na sio kutoa maneno yenye upendeleo na uchochezi wa uonevu kwa kundi fulani.
0 comments :
Post a Comment