Ndani ya Hong Kong kuna takriban wafungwa 200 kutoka Tanzania. Kati yao 130 wamehukumiwa na 70 bado wako rumande (takwimu za zisizo rasmi). Katika mwezi May – June 2013, wantanzania 50 walikamata Hong Kong na China.
Walewaliohukumiwa wanapata adhabu ya kifungo kisichopungua miaka 9 jela KAMA WAKIKUBALI KOSA. Na watafungwa miaka 21 kama hawatakubali kosa (lakini madawa wamekutwa nayo)
Hii stori wa watumwa wa Tanzania waingiao Hong Kong ni dhahiri yanatokea duniani kote. Nina imani hii stori inaonwa na watu wengi Afrika hasa hasa Tanzania na itawafanya wengi waache kufikiria kufanywa watumwa wa madawa. Kama hii stori itasaidia kumfanya hata mtu mmoja kuacha kufikiria kufanya biashara hii ya utumwa basi italeta manufaa makubwa sana. Hii ni story ilioandika kwa Kiswahili na Mtanzania alieko Hong Kong
Mfungwa Mwingine, aliitafsiri kwa Kiingereza. Majina katika stori hii na aibu ya watu muhimu sana nchini Tanzania.




Source: umbeamtupu blog
0 comments :
Post a Comment