Taarifa zinadai kwamba, Mbowe alitiwa nguvuni na polisi baada ya kuwatuhumu kuhusika na mlipuko wa bomu la arusha katika mkutano wa CHADEMA.
Kuachiwa huru kwa Mbowe kumetokana na majadiliano ya kina kati ya polisi na mawakili wake ambao wa wamekubali kujibu kwa maandishi ni kwa nini Mbowe aliwatuhumu polisi kwa mlipuko huo.
0 comments :
Post a Comment