Haya ni mashairi aliyoyaandika Nay wa mitego kwenda kwa mtoto wa Rais
a.k.a Riz One akimtaka amwambie baba yake kuwa mtwara hawataki korosho,
wanataka gesi na pia Lowassa asiache kugombea urais maana yupo tayari
kumpigia kampeni-2015
MASHAIRI YAKE:
Naongea na Riz one hey Riz One, we si mtoto wa raisi Riz one. Mwambie dingi yako
Masela hawamuelewi wamakonde wa Mtwara hawataki tena Korosho, wanaitaka
ges si mtawaua na mkong'oto?! Nani rafiki wa Lowasa anifikishie salam
2015 nataka agombee uraisi nitamfanyia kampeni wananchi wampe nafasi,
Home
»
»Unlabelled
»
NAY WA MITEGO AMKOMALIA RAIS J.K NA AJIPENDEKEZA KWA LOWASA
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment