TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary.. Pouwaa za siku jamani ...
Lily.... Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary.. Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu
Lily..... Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii

BAADA YA KUKATA SIMU... KILA MMOJA ANAWAZA

Lily..... Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.
Mary... Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu nani aende!!!

STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU

John.... Niaje we mbwaa
Sam.... Pouwa kichaa wanguu
John... Upo wap mpumbavu wewe
Sam... Niko hom, we fala Uko wap?
John.. Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata
Sawa... Pouwaa we ms**nge nakusubiri

BAADA YA KUKATA SIMU....KILA MMOJA ANAWAZA

John... Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time
Sam.... John bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee.

FUNZO.. Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA

WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lkn WANAPENDANA

0 comments :

 
Top