TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Mwanafunzi wa shule ya Makongo, Priscus Mallya amegongwa na lori na kufariki papo hapo.

Kwa mujibu wa watu waliowahi tukio hilo likitokea, wanasema kuwa mwanfunzi huyo alikuwa ndani ya bajaji akielekea shuleni Makongo ambapo walikutana uso kwa uso na lori kisha kumrusha na kutokea upande wa pili.Ajali mbaya imetokea hivi punde katika barabara ya Bagamoyo iyendayo Mwenge ambapo mwanafunzi mmoja wa shule ya Makongo (jina bado halijapatikana) amegongwa na lori na kufariki papo hapo.
Dereva wa bajaji yupo, lori limetokomea na mpaka tunaingia mtamboni tayari baadhi ya bodaboda zipo katika jitihada za kulifuatilia lori lilipoe lekea.

0 comments :

 
Top