NINI USHAURI WAKO WEWE KAMA MTANZANIA JUUU YA HILI
Hadi sasa ni mda mrefu wawakilishi wa watanzania katika mchakato wa kuunda katiba wakiwa wanahangaika na vipengele viwiwli tu huku kukiwa na runndo la vipengele ambavyo ni muhimu navyo kujadiliwa kiundani zaidi ili kupatiwa ufumbuzi mzuri.
Je, nii kweli kuwa hawakujipanga na mmchakato hu na pia kulikuwa hakuna dhamira ya dhati ya kuleta katiba mpya....?
toa maoni yako
0 comments :
Post a Comment