

hii ni muvi iliyo igizwa na wanafunzi wa chuo kikuu cha Dart es salaam kwa ushirikiano wa Mzee Chiro, na kuzalishwa chini ya usimamizi wa Mwalimu wa chuoni hapo....ISSA MBURA.
Ni muvi inayo elezea maisha ya wanafunzi wa vyuo kiujumla, hasa katika mswala ya kimahusiano na wenzao.
MUVI hii ni nzuri na iko tofauti na muvi zingine kwa kuwa imeigizwa na wanafunzi walio somea fani hiyo huku wakimshirikisha muigizaji mashuhuri Mzee Chiro na kuongozwa na mtaalamu wa fani hiyo Issa Mbura
kwa sasa imetoka, Pata nakala yako
0 comments :
Post a Comment