TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa UVCCM wilayani Siha, Godwin Mollel ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)

Akizungumza jana mbele ya waandishi wa habari amedai kwamba amechoshwa na siasa chafu zinazoendeshwa na ccm, kitendo cha kutengeneza makundi ya kigaidi kimemkera, na amekiri kwamba kuua raia wasio na hatia siyo utamaduni wa kitanzania.

Amesema ameamua kuungana na chadema ambacho kimeonyesha dhamira ya dhati kuwatetea wanyonge wa nchi hii.

Mollel amekiri kwamba watanzania kupata maisha bora chini ya utawala wa ccm ni ndoto zisizo na majibu

Chanzo Jamii forum

0 comments :

 
Top