TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

WOTE TUJITOKEZE KUONYESHA UPENDO  kesho JUMATANO tar 28may2014 ambapo ndiyo siku ya kumuaga rasmi mpendwa wetu,MAXIMILIAN NGUBE.wengi tulizoea kumwita PAPA...ITAKUWA VIWANJA VYA LEADERS saa 6 mchana na mazishi yatafanyika katika makaburi ya kinondoni.
kwa yeyote ambaye umeguswa na msiba huu,taarifa ndiyo hii hapa unaweza ukashare pia ili kuwafahamisha wengine.

R.I.P PAPA...TULIKUPENDA ILA MUNGU ALIKUPENDA ZAIDI...

0 comments :

Top