WANDISHI wa habari leo waliungana na watu mbalimbali katiks kumuaga mpiga picha wa mlimani TV bwana Maxmilan.
mazishi yamefanyika katika makaburi ya Kinondoni. Kabla ya mazishi, mwili wa marehemu uliangwa katika viwanja vya leaders ambako viongozi toka serikalin wakiongozwa na mwakilishi toka Wizara ya Habari, Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, wanafunzi toka UDSM-SJMC, watu wa Kongo na ndungu na jamaa wengine, walipata nafasi ya kumuaga mpendwa wao,
Wakitoa maneno yao watu mbalimbali akiwemo Dean wa UDSM-SJMC, walisifu utendaji kazi wa Max na moyo wake wa kuwafundisha wapigapicha wenzake jinsi ya kutumia kamera kwa ufasaha zaid...
0 comments :
Post a Comment