kutokana na kuhamishwa kwa kituo cha mwenge na kupelekwa mwenge, kama wiki mbili zilizopita. madreva na wamiliki wa daradara wametakiwa kuandika magari yao Makumbusho badala ya mwenge.
pia hakuna nauli yoyote ile iliyo ongezeka. Mwisho wa kuandika neno Makumbusho badala ya Mwenge ni ijumaa ya wiki hili..
akiongea na radio one, kamanda wa trafiki alisema kuanzia jumamosi hatua zitachukuliwa kwa gari lolote litakalo kiuka maagizo.
Kitendo cha kutobadilisha maneo hayoo, kinasababisha usumbufu kwa abilia, hasa wanapokuwa wanatafuta gari zinazoenda Makumbusho...
0 comments :
Post a Comment