TUMA HABARI YOYOTE ULIYONAYO KWENDA zimetokelezea@gmail.com AU Whatsapp No 0716790749

kwa wale watumiaji wa treni kwa safari za ndani ya Da es salaam, maarufu kama treni za Mwakyembe, kuna taarifa za kusimama kwa huduma hiyo.

Treni hizo zimesitisha safari zake kuanzia leo na hivyo huduma hiyo itaanza kupatikana siku ya tarehe 23 yaani jumatatu.

sababu ya kusitisha safari hizo ni kutokana na matengenezo ya vichwa vyote viwili wya treni hizo..... 

0 comments :

 
Top